*TANGAZO LA KAZI KWA MPISHI WA SHULE*
*Nahitaji mpishi wa shule wa kuwapikia wanafunzi na wafanyakazi wa shule*
*SIFA ZA MPISHI*
1. Awe jinsia ya Kike
2. Ajue kusoma na kuandika.
3. Awe msafi na mwenye kuipenda kazi yake.
4. Awe na bidii katika kazi.
5. Awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusukumwa na mtu.
6. Umri kuanzia miaka 20 hadi 35.
7. Awe anatokea Dar es salaam au Pwani.
ENEO LA KAZI
》Kiluvya _ Dar es salaam /Pwani.
To apply for this job please visit 0765363089.